Matthew 23:35-36

35 aHivyo ile damu ya wenye haki wote iliyomwagwa hapa duniani, tangu damu ya Habili, ambaye alikuwa hana hatia, hadi damu ya Zekaria mwana wa Barakia, mliyemuua kati ya patakatifu na madhabahu, itawajia juu yenu. 36 bAmin, nawaambia, haya yote yatakuja juu ya kizazi hiki.

Isa Aililia Yerusalemu

(Luka 13:34-35)

Copyright information for SwhKC